Habari za Punde

Timu ya Wizara ya Fedha yaibuka kidedea Bonanza la kuadhimisha miaka minane ya mamkala ya Viwanja vya Ndege Zanzibar

 WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Dkt Sira Ubwa Mwamboya,akimkabidhi kikombe kiongozi wa Timu ya Wizara ya Fedha baada ya kuibuka bingwa wa Bonanza la kuadhimisha miaka nane ya mamkala ya Viwanja vya Ndege Zanzibar, kwa kuichapa ZAA bao 1-0.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Dkt Sira Ubwa Mwamboya,akimkabidhi kikombe kiongozi wa Timu ya AAKIA Unguja baada ya kuibuka bingwa wa Bonanza la kuadhimisha miaka nane ya mamkala ya Viwanja vya Ndege Zanzibar, kwa mchezo wa Netboll.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Dkt Sira Ubwa Mwamboya, akimkabidhi kikombe kiongozi wa Timu ya AAKIA Unguja, baada ya kuibuka bingwa wa Bonanza la kuadhimisha miaka nane ya mamkala ya Viwanja vya Ndege Zanzibar, kwa mchezo wauvutaji wa kamba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WACHEZAJI wa Timu ya Wizara ya Fedha Pemba na ZAA Pemba, wakiwa katika picha ya pamoja na makombe yao ya ushindi, Fedha mshindi wa kwanza mpira wa miguu na ZAA mshindi wa pili mpira wa Miguu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.