Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Ahutubia Maadhimisho ya Miaka 20 ya ZRB Zanzibar.

Viongozi wa Serikali na ZRB wakiwa katika viwanja vya Majengo ya Bodi ya Mapato Jijini Zanzibar, wakisubiri kumpokea mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa na Viongozi wa Serikali na Bodi ya Mapato Zanzibar, wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 20 ya ZRB tangu kuazishwa kwake Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya ZRB Mazizini Zanzibar.21,Septemba.2019.
Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakihudhuria hafla ya Maadhimisho ya Miaka 20 ya Bodi ya Mapato Zanzibar, wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa.
Makamishna Wastaaf wa Bodi ya Mapato Zanzibar wakihudhuria hafla ya Maadhimisho ya ZRB kutimiza miaka 20 tangu kuazishwa kwake Zanzibar. 
Baadhi ya Wageni waalikwa wakiwa katika viwanja vya ZRB Mazizini Zanzibar wakihudhuria hafla ya maadhimisho ya miaka 20 ya ZRB Zanzibar zilizofanyika katika viwanja vya Ofisi hiyo mazizini Jijini Zanzibar.
Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar ZRB. Ndg. Joseph Abdalla Meza, akizungumza wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 20 ya ZRB tangua kuazishwa kwake Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya taasisi hiyo Mazizini Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Mapato Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya ZRB Mazizini Jijini Zanzibar. 

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZBR) Ndg. Saleh Sadiq Osman, akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abduwawa, wakati wa hafla ya maadhimisho ya Miaka 20 ya ZBR, zilizofanyika katika viwanja vya Taasisi ya ZRB Mazizini Jijini Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abduwawa, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wananchi na Wafanyakazi wa ZRB, wakati wa hafla ya maadhimisho ya Miaka 20 ya Bodi ya Mapato Zanzibar tangu kuazishwa kwake Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 20 ya Bodi ya Mapato Zanzibar, tangu kuazishwa kwake Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Taasisi ya ZRB Mazizini Jijini Zanzibar. 
Wafanyakazi wa Bodi ya Mapato Zanzibar wakihudhuria hafla ya Maadhimisho ya Miaka 20 yaZRB yaliofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo Mazizini Jijini Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla hiyo.
Wafanyakazi wa Bodi ya Mapato Zanzibar wakihudhuria hafla ya Maadhimisho ya Miaka 20 yaZRB yaliofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo Mazizini Jijini Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla hiyo.
Wafanyakazi wa Bodi ya Mapato Zanzibar wakihudhuria hafla ya Maadhimisho ya Miaka 20 yaZRB yaliofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo Mazizini Jijini Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla hiyo.
Baadhi ya Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akihutubia hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya ZRB Mazizini Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Makamishna Wastaf wa ZRB Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akihutubia hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya ZRB Mazizini Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Mawaziri na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akihutubia hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya ZRB Mazizini Jijini Zanzibar.

Baadhi ya Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akihutubia hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya ZRB Mazizini Jijini Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.