Waziri wa Elimu na Mafunzo ya amali Zanzibar Riziki Pembe Juma akizungumza na Wanafunzi na Viongozi waliofika katika sherehe ya Elimu bila ya malipo Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Zanzibar Balozi Ali Abeid Karume akimkaribisha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Riziki Pembe Juma walipofika katika Sherehe za Elimu bila malipo Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
Afisa Mdhamini Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba Mohammed Nassor Salim akitoa shukurani kwa washiriki wa Sherehe za Elimu bila Malipo katika Kiwanja cha Gombani Kisiwani Pemba.
Wanafunzi wakifanya zoezi mara walipowasili katika Sherehe Gombani Kisiwani Pemba.
Picha na Miza Othman - Maelezo Pemba.
No comments:
Post a Comment