Habari za Punde

Waandishi wa Habari Pemba Wapata Elimu ya Magonjwa Yanayokingwa.

AFISA wa Magonjwa yanayokingwa kwa njia ya Chanjo Pemba Bakari Hamad Bakar, akiwaonyesha waandishi wa habari kitambu ambacho madktari watakitumia kama ni muongozo wakati wa kampeni ya utoaji wa chanjo ya Surua Rubella na Polio itakapofika Septemba 26 hadi 30 kwa watoto waliochini ya umri wa miaka mitano
MWANDISHI wa habari kutoka ZBC Pemba, Jitihada Abdalla aliuliza swali wakati wa mkutano wa waandishi wa bahari, kuelekea kampeni ya kitaifa ya utoaji wa Chanjo ya Surua Rubella na Polio kwa watoto waliochini ya miaka mitano, mkutano huo ulioandalia na kituo cha Chanjo Pemba na kufanyika ukumbi wa Maabara ya Jamii Wawi
WAANDISHI wa habari kutoka Vyombo mbali mbali vya habari wakifuatilia kwa makini mkutano wa waandishi na viongozi wakituo cha Chanjo Pemba, juu ya uhamasishaji wa jamii kujitokeza kwa wingi katika zoezi la utoaji wa Chanjo ya kitaifa ya Surua Rubela na Poli kwa watoto walio chini ya miaka mitano Septemba 26 hadi 30 mwaka huu.
Picha na Abdi Suleiman - Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.