Habari za Punde

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, afungua Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katikaMiradi ya Kimkakati

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua mwongozo wa Taifa wa ushiriki wa wananchi katika uwekezaji na tovuti ya miradi ya mikakati, kwenye Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa ameshika kitabu cha mwongozo wa Taifa wa ushiriki wa wananchi katika uwekezaji, baada ya kuzindua mwongozo huo, kwenye Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Dkt. Festus Limbu, akizungumza na washiriki, kwenye Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Binilith Mahenge, akizungumza na washiriki, kwenye Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu,Jenista Mhagama, akizungumza na washiriki, kwenye Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia kwenye Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma. Septemba 20.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.