Habari za Punde

Waziri Aboud mgeni rasmi uwekaji wajiwe la msingi Ofisi ya Kikosi cha KVZ ChakeChake Pemba

MUONEKANO wa Ofisi ya KVZ Chake Chake Pemba, baada ya kuwekewa jiwe la msingi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed ikiwa ni shamrashamra za miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (PICHA NA ABDI SULEIMAN
 STAF sajent Said Ussi Khamis akiongoza askari wenzake wakati wautoaji wa heshima kwa viongozi mbali mbali wanaoingia katika kambi ya KVZ Ndugu kitu Wilaya ya Chake Chake, ikiwa ni shamrashamra za miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (PICHA NA ABDI SULEIMAN)

 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili Mohamed Aboud Mohamed, akisalimiana na Afisa Mdhamini Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ, Juma Nyasa Juma, ikiwa ni shamrashamra za miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (PICHA NA ABDI SULEIMAN)
 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed (KULIA) akikunjuwa kitambaa kuashiria uwekaji wajiwe la msingi jengo la ofisi ya KVZ ndugukitu Wilaya ya Chake Chake, kushoto ni Mkuu wa KVZ Zanzibar Said Ali Juma,  ikiwa ni shamrashamra za miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (PICHA NA ABDI SULEIMAN)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili Mohamed Aboud Mohamed, akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, wakati wakienda kukagua hanga la askari wa KVZ Chake Chake,ikiwa ni shamrashamra za miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (PICHA NA ABDI SULEIMAN)
 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili Mohamed Aboud Mohamed, akiwaongoza viongozi mbali mbali wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar , wakati wa wimbo maalumu wa mashujaa ikiwa ni shamrashamra za miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (PICHA NA ABDI SULEIMAN)


BAADHI ya askari wa vikosi vya serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakiimba wimbo maalumu wa mashujaa wa Zanzibar, wakati wauwekaji wa jiwe la msingi jengo la KVZ cHAKE cHAKE,  ikiwa ni shamrashamra za miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (PICHA NA ABDI SULEIMAN)

 MKUU wa kikosi cha KVZ Zanzibar Said Ali Juma, akitoa taarifa ya kitaalamu ya ujenzi wajengo la Ofisi ya KVZ Pemba, mara baada ya kuwekewa jiwe la msingi  ikiwa ni shamrashamra za miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (PICHA NA ABDI SULEIMAN)
 KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ Radhia Haroub Rashid, akizungumza wakati wa uwekaji wajiwe la msingi jengo la Ofisi ya Kikosi cha KVZ Chake Chake Pemba, ikiwa ni shamrashamra za miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (PICHA NA ABDI SULEIMAN)


WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed, akizungumza na wananchi mbali mbali waChake Chake na Vikosi vya Ulinzi na Usalama Pemba, mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi Ofisi ya Kikosi cha KVZ, ikiwa ni shamrashamra za miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (PICHA NA ABDI SULEIMAN)

MKUU wa Mkoa waKuisni Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza na wananchi wa Chake Chake, mara baada ya uwekaji wajiwe la msingi kwa ofisi ya KVZ, ikiwa ni shamrashamra za miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (PICHA NA ABDI SULEIMAN)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.