Habari za Punde

Zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura Wilaya ya Micheweni Likiendelea

Makarani wa Uwandikishaji wa wapiga kura wapya na uhakiki wa taarifa za wapiga kura wa zamani wakiingiza taarifa zao wakati wa zoezi hilo la uandikishaji likiendelea katika Wilaya ya Micheweni Pemba, wakingiza taaerifa zao katika kifaa maalum cha uandikishaji wapiga kura.
Picha na Abdi Suleiman -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.