Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar KMKM yatoa Kipigo cha Mabao 5-0 Dhidi ya Timu ya Malindi Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.

Mshambuliaji wa Timu ya Malindi akimpita beki wa Timu ya KMKM wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar, Timu ya KMKM imetowa kipigo kwa mabao 5 -0 Dhidi ya Timu ya Malindi.
Mchezaji wa Timu ya Malindi mwenye mpira akijaribu kumpita Beki wa Timu ya KMKM wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.Timu ya KMKM imeobuka kidedea kwa mabao 5 -0.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.