Habari za Punde

Kituo cha Majadiliano kwa Vijana Zanzibar (CYD) chajadili changamoto zinazowakabili

 VIJANA  kutoka shehia tatu za wilaya ya Chake Chake na Tatu kutoka Wete, ambazo ziko chini ya  Kituo cha Majadiliano kwa Vijana Zanzibar (CYD), wakifuatilia kwa makini mkutano wa kuwasilisha Changamoto zinazowakabilia vijana hao, huko katika ukumbi wa baraza la mji Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 AFISA Mdhamini Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Pemba Hakim Vuai Shein, akifungua mkutano wa kuwasilisha Changamoto za Vijana ulioandaliwa na Kituo cha Majadiliano kwa Vijana Zanzibar (CYD), huko katika ukumbi wa Baraza la Mji Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MRATIB wa Kituo cha Majadiliano kwa Vijana Zanzibar (CYD) Ali Shaaban, akiwasilisha taarifa ya kituo hicho kupitia mradi wa Six Hundred Opportunities-SHOPhuko katika ukumbi wa Braza la Mji Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 AFISA mikopo kutoka Benk ya NMB Pemba Wahbi Alawy, akitoa maelezo juu ya vitu ambayo wanavikundi na wajasiariamlua wanapaswa kuwanavyo na kwenda kupata mkopo katika benk hiyo,huko katika ukumbi wa baraza la Mji Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA
 MRATIB wa shirika la SOS Pemba Ghalib Abdalla, akizungumza katika kikao cha vijana kuwasilisha changamoto zinazowakabili, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Baraza la Mji Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MRATIB wa NGOs Pemba Halima Khamis akizungumza katika kikao cha Vijana kuwasilisha changamoto zao, kilichosimamiwa na Kituo cha Majadiliano kwa Vijana Zanzibar (CYD) nakufanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.