MAKAMU wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, akiwasili katika viwanja vya maonesho ya Kilimo ya Nanenane Chamanangwe kwa ajili ya kuyafunga maonesho hayo
MAKAAMU wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiangalia moja ya vitabu vya SADC
wakati alipotembelea banda la Wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Africa
Mashariki, huko katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete
MAKAMU wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akipata maelezo kutoka kwa mmoja ya
wauzaji wa mbegu za kilimo, madawa na mbolea katika maonyesho ya maadhimisho ya
siku ya wakulima Nanenane, huko katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete
MAKAMU wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiuliza swali kwa watendaji wa Wizara
ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Africa Mashariki Tanzania, wakati
alipotembelea banda hilo huko katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete
MAKAMU wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza wakati wa hafla ya ufungaji wa maonyesho
ya siku ya wakulima nanenane, yaliofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya
Wete
MAKAMU wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akimkabidhi cheti cha ushiriki wa Wizara
ya Fedha na Mipango Zanzibar katika maonyesho ya Nanenane, afisa Kodi Zainab
Haroub Mohamed, huko katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete
WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mmanga
mjengo Mjawiri, akizungumza katika maonyesho ya Siku ya Wakulima Nanenane, huko
katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment