Mkurugenzi Mtendaji
wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru (katikati)
akizungumza na Watendaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akiwemo
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama, Christopher Mapunda (katikati) na Meneja
Masoko na Huduma kwa wateja, Hipoliti Lello wakati walipofika kujitambulisha Ofisini
kwake Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi (Agosti 27, 2020). Wa kwanza kulia ni
Rais wa Shirikisho la Wanafunzi wa Elimu ya Juu (TAHLISO), Peter Niboye na
Afisa Mikopo wa HESLB, Jonathan Nkwabi.
(PICHA NA BODI YA
MIKOPO- HESLB)
No comments:
Post a Comment