MKURUGENZI Idara ya Mawasiliano Ikulu, Hassan Khatib (katikati), akifungua mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusiana na Tathmini ya Dira ya mwaka 2020, ilioandaliwa na Tume ya Mipango Zanzibar, chini ya Idara ya Mawasiliano Ikulu, hafla iliofanyika ukumbi wa sanaa Rahaleo Mjini Unguja.
Mtoa mada Bi. Jamila Abass, akiwasilisha wakati wa mafunzo, kwa waandishi wa habari kuhusiana na Tathmini ya Dira ya mwaka 2020, ilioandaliwa na Tume ya Mipango Zanzibar, chini ya Idara ya Mawasiliano Ikulu, hafla iliofanyika ukumbi wa sanaa Rahaleo Mjini Unguja
WASHIRIKI wa mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusiana na Tathmini ya Dira ya mwaka 2020, ilioandaliwa na Tume ya Mipango Zanzibar, chini ya Idara ya Mawasiliano Ikulu, hafla iliofanyika ukumbi wa sanaa Rahaleo Mjini Unguja.
WASHIRIKI wa mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusiana na Tathmini ya Dira ya mwaka 2020, ilioandaliwa na Tume ya Mipango Zanzibar, chini ya Idara ya Mawasiliano Ikulu, hafla iliofanyika ukumbi wa sanaa Rahaleo Mjini Unguja.
Mtowa Mada katika mafunzo kwa waandishi wa habari mbalimbali kuhusiana na Tathmini ya Dira ya mwaka 2020, Bi.Jamila Abass (kulia), akijibu baadhi ya michango iliowasilishwa wakati wa mafunzo hayo kwa waandishi wa habari Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Jijini Zanzibar na kulia Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Zanzibar Ndg. Hassan Khatib Hassan.
Muandishi wa habari wa Redio Jamii Tumbatu Ndg. Makame Ngwali akichangia mada wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusiana na Tathmini ya Dira ya mwaka 2020, ilioandaliwa na Tume ya Mipango Zanzibar, chini ya Idara ya Mawasiliano Ikulu, hafla iliofanyika ukumbi wa sanaa Rahaleo Mjini Unguja.
Picha na Abdalla Omar.
No comments:
Post a Comment