Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Akagua Ujenzi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Nyerere

Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa akikagua kazi ya ujenzi wa Mradi wa  Bwawa la kuzalisha umeme la Nyerere wilayani Rufiji, Aprili 10, 2021. Kulia  ni Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato  na kushoto ni  Mhandisi Mkazi wa Mradi, John Mageni
Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa  akiwapungia wajenzi wakati  alipokagua kazi ya ujenzi wa Mradi wa  Bwawa la kuzalisha umeme la Nyerere wilayani Rufiji, Aprili 10, 2021. Kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato 

Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa  akiwapungia wajenzi wakati  alipokagua kazi ya ujenzi wa Mradi wa  Bwawa la kuzalisha umeme la Nyerere wilayani Rufiji, Aprili 10, 2021. Kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.