RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,
akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla
na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Abeid Amani Karume Jijini Zanzibar, akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza
ziara yake ya Siku mbili Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,
akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, baada ya
kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Jijini Zanzibar,
akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya Siku mbili
No comments:
Post a Comment