Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili katika kiwanda cha dawa kinachomilikiwa na Bohari ya Dawa MSD kilichopo Keko Jijni Dar es salaam ili kujionea namna kiwanda hicho kinavyofanya kazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea maelezo ya namna mashine za kutengeneza dawa zinavyofanya kazi wakati alipotembelea kiwanda cha MSD kinachotengeneza dawa kilichopo Keko Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akitembelea ghala la kuhifadhia dawa lililopo Makao makuu ya Bohari ya Dawa MSD Keko Dar es Salaam, kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa Ugavi Billy Sengano pamoja na kulia kwake ni Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. AifelloSichwale.
MakamuwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa
Tanzania Dkt. Philip
IsdorMpangoakizungumzanawatumishiwaBohariyaDawamarabaadayakutembeleaghala la
kuhifadhidawalililopomakaoMakuuya MSD Keko Dar es salaam.
MakamuwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa
Tanzania Dkt. Philip IsdorMpangoakizungumzanamenejimentiyaBohariyadawawakatialipotembeleaMakaomakuuyaBohariyadawakeko
– Dar es salaam.
PICHA : OFISI YA MAKAMU WA RAIS
No comments:
Post a Comment