Habari za Punde

Naibu Waziri Mhe.Hamad Chande Atembelea Kiwanda cha A to Z Arusha.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Hassan Chande akiwa katika ziara ya kukagua kiwanda cha A TO Z cha jijini Arusha alipofanya ziara ya kukagua uzingatiaji wa Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Hassan Chande (watatu kushoto) akimsikiliza mtaalamu wa maabara katika kiwanda cha A TO Z cha jijini Arusha alipofanya ziara ya kukagua uzingatiaji wa Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Hassan Chande akizungumza na wataalamu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Kaskazini alipowasili jijini humo kwa ziara ya kikazi.

Kiwanda cha A TO Z kimeelekezwakuwanautaratibuwakuwasilishakatikaBaraza la Taifa la HifadhinaUsimamiziwaMazingra (NEMC)ripotiyavipimovyasampuliyamajitakaililiwezekufanyatathminikuhusukiasi cha sumukinachowezakuwemokatikamajihayo.

Naibu Waziri OfisiyaMakamuwaRais (MuunganonaMazingira), Mhe. Hamad Hassan ChandeametoamaelekezohayoJuni 12, 2021 alipofanyaziarayakukaguakiwandahichokilichopojijini Arusha.

ChandealibainikuwaripotiinayoandaliwanawataalamuwamaabarakiwandanihapohuishiakuwasilishakwauongoziwakiwandapekeebilakuishirikishaSerikaliiliwawafanyietathmini.

“Nimetembeleakiwandahikinanimefikakulemaabaranimebainichangamotohasakatikaripotizenuzinaishiahumundani, nisawanakufanyamtihanihalafuukajisahihishiamwenyewehuwezikufelilazimampelekeripoti NEMC wawatahmini,” alisema.

NaibuwazirihuyoalisemaipohajayakiwandahichokuwashirikishawataalamukutokaWakalawaMkemiaMkuuilikuwezakupatauhakikawamatokeoyavipimokamanisahihi.

Pia aliuelekezauongoziwakiwandahichokutanuamtambowakutibumajitakaakibainishakuwanimdogoukilinganishaukubwawakiwandahaliinayowezakusababishakushindwakutoshelezamahitaji.

HatahivyoChandealipongezakiwanda cha A TO Z kwakushirikikatikautunzajiwamazingirakutokananaukusanyajinaurejelezajiwa taka unaofanywakiwandanihapo.

Alisemakuwahatuayakukusanya taka mbalimbalihusaidiakuwekaJiji la Arusha nanchikwaujumlakatikahaliyausafinakutunzamazingiranakuwatakawananchiwaendeleekutunzamazingirakwanindiouhai.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.