Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Khamis Hamza Chilo akilikagua Basi la Kampuni ya Classic lililopata ajali katika eneo la Buyubi mkoani Shinyanga likitoka Kampala Uganda kwenda jijini Dar es Salaam ambapo watu wanne wanaripotiwa kufariki.Ziara hiyo imefanyika usiku wa kuamkia leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Yanga waalikwa Ikulu kwa chakula cha jioni
-
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kesho
tarehe 05 Juni, 2023 ameialika timu ya Dar es Salaam Young Africans (Yanga)
kw...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment