Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kwa Azizi Ali mara baada ya
kufanya ziara ya kushtukiza kukagua mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya
Mwendokasi katika barabara ya Kilwa.
Wananchi wa Mtongani na Kwa Azizi Ali wakimsikiliza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipowasalimia
wakati akikagua ujenzi wa Barabara ya Mabasi yaendayo haraka (BRT) Awamu ya
Pili (Mwendokasi) katika barabara ya Kilwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mbagala mkoani Dar es Salaam wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi katika barabara ya Kilwa.
Wananchi wa Mbagala wakishangilia wakati Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akizungumza
nao wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa
Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi katika barabara ya Kilwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akipewa maelezo kuhusu mradi wa Soko la Kisutu mara baada ya
kufanya ziara ya kushtukiza Sokoni hapo. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment