Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Azungumza na Viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi wa Mkoa wa Dar es  salaam kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Juni 4, 2021.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.