Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Aendelea na Ziara Yake Nchini Rwanda.Ashiriki Chakula cha Jioni Alichoandaliwa na Mwenyeji Wake Rais Kagame.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, wakati wa Chakula cha Jioni kilichoandaliwa na Rais Kagame Mjini Kigali Rwanda kwa ajili yake leo Agosti 02,2021. Mhe. Rais Samia yupo Nchini Rwanda kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili. IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi na Wananchi wa Rwanda, kwenye Hafla ya Chakula cha Jioni kilichoandaliwa kwa ajili yake na Rais Kagame Mjini Kigali Rwanda leo Agosti 02,2021. Mhe. Rais Samia yupo Nchini Rwanda kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili. IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu alipotembelea Makumbusho ya Hifadhi ya Kimbari Kigali Nchini Rwanda 
                                                                             PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.