Habari za Punde

RC Ayoub ashiriki zoezi la Upandaji miti Mkokotoni lililoratibiwa na Red Cross

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub M. Mahmoud aliposhiriki katika zoezi la upandaji wa miti maeneo ya Mkokotoni.

“Nimekuja kupanda miti nanyi vijana wa Red Cross kama sehemu ya utamaduni wangu wa kujitolea,kupanda miti kwetu leo haitasaidia tu hali kijani na mazingira bali hata kuwa na usalama mzuri ulimwenguni”.

“Mimi niwaombe vijana kwa ishara yangu ya kupanda miti leo basi kwa wale Red Cross waliopo Mkoa wa Kaskazini unguja basi waendeleze zoezi hili”.


Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub M. Mahmoud akiwa pamoja na vijana wa Red Cross wakati wa zoezi la upandaji miti huko Mkokotoni
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.