Habari za Punde

Innaa lillaahi Wainnaa Ilayhi Rajiuun: Jabir Ahmed Maulid

Innallilahi Waina ilayhi Rajiuun. Mfanyakazi mwenzetu Ndg Jabir Ahmed Maulid wa Idara ya Diaspora amefariki jana jioni na maziko yake yatafanyika leo 27-3-2022 baada ya sala ya Adhuhuri Msikiti wa Mtendeni Wilaya ya Mjini Unguja na kuzikwa katika makaburi ya Mwanakwerekwe Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.