Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Amerejea Nchi Akitokea Nchini Jordan kwa Ziara ya Kikazi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi, 28, 2022 amerejea nchini akitoka Aqaba nchini Jordan  alikomwakilisha Rais  Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa kujadili usalama katika eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika hususan nchini Msumbiji na maeneo ya jirani (Aqaba Process).  Pichani, Mheshimiwa Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa  wakisalimiana na viongozi wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Wa tano kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi, 28, 2022 amerejea nchini akitoka Aqaba nchini Jordan  alikomwakilisha Rais  Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa kujadili usalama katika eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika hususan nchini Msumbiji na maeneo ya jirani (Aqaba Process). Pichani, Mheshimiwa Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa  (kulia)  wakizungumza na   Mkuu wa wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.