Habari za Punde

Tume ya Utangazaji Zanzibar Yaruhusu Kuendelea na Matangazo kwa Baadhi ya Vyombo vya Habari Vilivyositishiwa Leseni ya Utangazaji Hivi Karibuni.

Mrajis Tume ya Utangazaji Zanzibar Sheikha Haji Dau  akizungumza na  Vyombo vya Habari kuhusu kurusiwa kuendelea na matangazo kwa baadhi ya Vyombo vya Habari vilivyositishiwa leseni ya Utangazaji hivi karibuni, huko katika Ofisi za Tume hiyo Kilimani Mjini Zanzibar.

PICHA NA FAUZIA MUSSA -MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.