Habari za Punde

Matukio ya Picha Bungeni Jijini Dodoma leo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipiga Kura kuchagua `Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 22.2022.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mikumi Denis Lazaro, Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,  Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Chande, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 22.2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.