Habari za Punde

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ahudhuria Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma White House

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akizungumza na kubadilishana mawazo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, wakiwa katika ukumbi wa White House Dodoma wakihudhuria Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika leo 27-9-2022 katika ukumbi huo

WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakisoma makabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo.27-9-2022

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa White House Dodoma akihudhuria Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika leo 27-9-2022 katika ukumbi huo na (kulia) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa White House Dodoma akihudhuria Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika leo 27-9-2022 katika ukumbi huo na (kulia) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  pia ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa katika ukumbi wa White House Dodoma kuongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo 27-9-2022 na (kulia ) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein


MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa White House Jijini Dodoma leo 27-9-2022, na (kulia) Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed SheinMWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa White House Jijini Dodoma leo 27-9-2022
WAJUMBE wa Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wa kwanza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Dkt Tulia Ackson na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, wakifuatilia ufunguzi wa Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa White House Jijini Dodoma leo 27-9-2022 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.