Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza aliyefariki tarehe 08 Septemba, 2022. Rais Samia amesaini kitabu hicho katika jengo la Lancaster (Lancaster House), London, Uingereza tarehe 18 Septemba, 2022. Picha na Jonathan Hordle/PA Media Assignments
UPATIKANAJI WA DAWA WAIMARIKA NCHINI
-
OWM-TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OWM– TAMISEMI) anayeshughulikia masuala ya Afya, Mhe. Dkt. Jafari ...
4 hours ago

0 Comments