Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akisalimiana na Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 17, 2023 kwa mazungumzo
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, Akizungumza na, Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 17, 2023.(picha zote na Fahadi Siraji,CCM Makao Makuu)
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 17, 2023.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akiwa na mgeni wake Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akiagana na mgeni wake Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyifanyika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 17, 2023.
(picha zote na Fahadi Siraji,CCM Makao Makuu)
No comments:
Post a Comment