Habari za Punde

Katibu Mkuu wa CCM Akiendelea na Ziara yake Wilaya ya Mkalama

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Shina Namba 5 Tawi la CCM Iguguno Kaskazini Kata ya Iguguno Wilayani Mkalama wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo (haypo pichani) akizungumza wakati wa ziara yake ya Kichama katika Wilaya hiyo 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg.Daniel Chongolo akizungumza na WanaCCM wa Tawi la CCM Iguguno Shina Namba 5 Wilayani Mkalama, akiendelea za ziara yake Wilayani humo. 
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema akizungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Iguguno Kaskazini Wilaya ya Mkalama katika mkutano wa hadhara ulifanyika katika viwanja vya Tawi hiliwakati wa ziara ya Kichama ya Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.