Mkurugenzi Mkuuu wa fedha Exim bank Shani Kinswaga akizungumza na watendaji wa Wakala wa Serikali Mtandao kabla ya kusaini hati za makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji katika kufikia malengo ya mkakati wa kidijitali wa Serikali huko Golden Tulip Uwanja wa ndege Zanzibar
Mkurugenzi Mtendaji Wakala wa Serikali Mtandao e Gaz Said Seif Said akizungumza na watendaji wa Serikali Mtandao na Exim Bank kabla ya kusaini hati za makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji katika kufikia malengo ya mkakati wa kidijitali wa Serikali huko Golden Tulip Uwanja wa ndege Zanzibar .
Mkurugenzi Mtendaji Wakala wa Serikali Mtandao e Gaz Said Seif Said (kulia) na Mkurugenzi mkuuu wa fedha Exim bank Shani Kinswaga wakisaini hati za makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji katika kufikia malengo ya mkakati wa kidijitali wa Serikali huko Golden Tulip Uwanja wa ndege Zanzibar .
PICHA NA FAUZIA MUSSA-MAELEZO ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment