Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Azungumza na Wananchi wa Somanga- Kilwa Mkoani Pwani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu zawadi yake ya picha aliyopewa na Siti Mketo  wakati akihitimisha Ziara yake katika Mikoa ya Kusini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Somanga katika Jimbo la Kilwa Kaskazini wakati akihitimisha Ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 20 Septemba, 2023.

Wananchi wa Somanga wakiwa kwenye shamrashamra za kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati aliposimama eneo hilo kuwasalimia Wananchi wakati akihitimisha Ziara yake katika Mikoa ya Kusini. 

Wananchi wa Somanga wakiwa kwenye shamrashamra za kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati aliposimama eneo hilo kuwasalimia Wananchi wakati akihitimisha Ziara yake katika Mikoa ya Kusini.

Watoto wa Shule ya Msingi Somanga wakiwa na shauku ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliposimama eneo hilo kuwasalimia Wananchi wakati akihitimisha Ziara yake katika Mikoa ya Kusini.
(Nimemuona Rais)…Mwanafunzi wa Shule ya Msingi  Somanga akiwa amebebwa juu ili kutimiza ndoto yake ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  aliposimama eneo hilo kuwasalimia Wananchi wakati akihitimisha Ziara yake katika Mikoa ya Kusini
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.