Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza Kikao cha Baraza la Mapinduzi leo 05 Oktoba, 2023, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu)
HAKIKISHENI MRADI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA HAUSIMAMI - DKT MWIGULU
-
WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Maji kuhakikisha mradi
wa Bwawa la Maji Kidunda hausimami na unakamilika kwa wakati ili uanze
kutoa hud...
10 hours ago

0 Comments