Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ahutubia Kilele cha Maadhimisho ya Mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi wa Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Kiembesamaki Uwanja wa Ndege Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-12-2023, kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi wa Zanzibar 2023 na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum  na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRA Prof.Hemed Rashid Hikmany, akizungumza katika Kilele cha Mwezi wa Furaha na Shukrani kwa Walipakodi wa Zanbzibar 2023, hafla hiyo iliyofanyika  leo 29-12-2023 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum na (kushoto kwa Rais) Kamishna Mkuu wa ZRA Ndg. Yussuf Juma Mwenda 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Kilele cha Maadhimisho ya Mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi wa Zanzibar 2023, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Kilele cha Maadhimisho ya Mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi wa Zanzibar 2023, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-12-2023
KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said  akifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi wa Zanzibar 2023, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaji Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-12-2023 na (kulia kwake) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa ZRA Prof Hemed Rashid Hikmany na Kamishna Mkuu wa ZRA Ndg.Juma Yussuf Mwenda.
WAGENI waalikwa Walipakodi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi wa Zanzibar 2023, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-12-2023
WAGENI waalikwa Walipakodi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi wa Zanzibar 2023, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Huseein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya mchango wake katika kusimamia ulipaji wa Kodi Zanzibar, wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar 2023, akikabidhiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-12-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Huseein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya mchango wake katika kusimamia ulipaji wa Kodi Zanzibar, wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar, akikabidhiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-12-2023, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Waziri) Kamishna Mkuu wa ZRA Ndg. Yussuf Juma Mwenda
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi TUZO Mshindi wa Jumla wa Walipakodi wa Zanzibar Kampuni ya United Petroleum Ndg.V.Sathish Kumar (kulia kwa Rais) katika Maadhimisho ya Kilele cha Mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi wa Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.