Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Amuweka Jiwe la Msingi W\Eneo la Mtaa wa Viwanda Dinga Zuze Mkoa wa Kusini Unguja

MUONEKANO wa barabara inayokwenda katika eneo la  Mtaa  wa Viwanda Dunga Zuze Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, leo 7-8-2024 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameweka Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Eneo la Ujenzi wa  Viwanda Dunga Zuze

















 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.