Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Bakar akishudia Mkazi wa Mtaa wa Karyambwa Wilayani Muleba Mkoani Kagera, Bw. Vedastus Manya Nsinde akiboresha taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika kituo cha Shule ya Msingi Rubungo wakati zoezi la uboreshaji wa Daftari ulioanza jana Agosti 5,2024 Mkoani Kagera. Mikoa ya Kagera na Geita imeanza zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na litaendelea hadi Agosti 11, 2024.(Picha na INEC).
Habari : Serikali yasisitiza Usalama ,Mapato Mpakani Mutukula
-
Na Mwandishi Wetu,KAGERA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amehimiza ushirikiano
kati ya watumishi wa serikali waliopo katika Kituo ch...
2 hours ago
0 Comments