RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Gavana wa Jiji la Moroni, Comoro Mhe Ibrahim Mzee, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-10-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Gavana wa Jiji la Moroni, Comoro Mhe Ibrahim Mzee (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-10-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Gavana wa Jiji la Moroni, Comoro Mhe Ibrahim Mzee (kulia kwa Rais) akiongoza ujumbe huo, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-10-2024, na (kushoto kwa Rais) Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe. Mahamoud Muhammed Mussa.

No comments:
Post a Comment