Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa
na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimia
na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla na Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa,baada ya kuwasili Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo 21-11-2024, akitokea Nchini
Zimbabwe kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC,
akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, uliyofanyika
jana 21-11-2024,Jijini Harare, Zimbabwe
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa
na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimia
na Viongozi mbalimbali ,baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume Zanzibar leo 21-11-2024, akitokea Nchini Zimbabwe kuhudhuria
Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini
mwa Afrika (SADC) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, uliyofanyika jana 21-11-2024,Jijini
Harare, Zimbabwe
No comments:
Post a Comment