Habari za Punde

Hii picha ni ya ajabu.

Ukiiangalia kwa mbali utadhani ni mtu amekaa kitako kwenye maji anasoma kitabu. 

Lakini ukiivuta kwa karibu utaona hapana picha ya mtu hapo wala kitabu. Yote ni makosa ya jicho lako yaliyopeleka taarifa sizo kwenye mishipa ya akili yako.

TANBIHI: Hivi ndivyo maisha yalivyo, si kila unachokitarajia, ndivyo kinavyokuwa. Na si kila unayemdhania ndiye, ni ndiye kweli.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.