Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais
wa Benki ya Dunia Bw. Ajay Banga, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Januari,
2025.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Dunia Bw. Ajay Banga, Ikulu Jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na
kuzungumza na Rais wa Taasisi ya Rockefeller Dkt. Rajiv
Sha Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
picha ya pamoja na Rais wa Taasisi ya Rockefeller Dkt. Rajiv Sha, Ikulu Jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi. Amina Mohamed Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya
pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi. Amina Mohamed Ikulu Jijini
Dar es Salaam tarehe 27 Januari, 2025.
No comments:
Post a Comment