RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi, wakiwa katika kaburi la marehemu, baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma na dua, iliyofanyika leo 23-2-2025 katika viwanja vya Zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali
alipowasili katika viwanja vya zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa
ajili ya Dua ya kumuombea Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, iliyofanyika leo 23-2-2024, ikiwa ni mwaka mmoja tangu
kufariki kwake
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali,
Wanavyuoni na Wananchi katika kisomo cha Hitma na dua ya kumuombea Marehemu Ali
Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iliyofanyika
Zawiyani Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-2-2025 na (kulia Rais )
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdallu na (kushoto
kwa Rais) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali,
Wanavyuoni katika kisomo cha Hitma na dua ya kumuombea Marehemu Ali Hassan
Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iliyofanyika Zawiyani Mangapwani,
Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-2-2025, na (kulia Rais ) Makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdallu na (kushoto kwa Rais) Kadhi Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali
WANAVYUONI na Wananchi mbalimbali wakijumuika na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi katika kisomo cha hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iliyofanyika Zawiyani Mangapwani
Mkoa wa Kaskazini Unguja Kijijini kwao leo 23-2-2025
WANAVYUONI na Wananchi mbalimbali wakijumuika na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi katika kisomo cha hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iliyofanyika Zawiyani Mangapwani
Mkoa wa Kaskazini Unguja Kijijini kwao leo 23-2-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani kwa
Wananchi na Wanavyuoni, waliohudhuria katika hafla ya Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea
Marehemu Ali Hassan Mwinyi ,Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iliyofanyika
Kijijini Kwao Zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-2-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani kwa
Wananchi na Wanavyuoni, waliohudhuria katika hafla ya Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea
Marehemu Ali Hassan Mwinyi ,Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iliyofanyika
Kijijini Kwao Zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wananchi
Wanavyuoni baada ya kumalizika kwa hafla ya kisomo cha hitma na dua ya kumuombea
Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
iliyofanyika Zawiyani Mangapwani Kijiji kwao Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-2-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali katika
kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman
Ngwali (kushoto kwa Rais) wakiwa katika kaburi la marehemu, baada ya kumalizika
kwa kisomo cha hitma na dua, iliyofanyika leo 23-2-2025 katika viwanja vya
Zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali katika
kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud
Mussa Wadi, wakiwa katika kaburi la marehemu, baada ya kumalizika kwa kisomo
cha hitma na dua, iliyofanyika leo 23-2-2025 katika viwanja vya Zawiyani
Mangapwani Mkoa wa Kaskazini

No comments:
Post a Comment