Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
ameshiriki Misa Takatifu ya Dominika ya Pili ya Pasaka katika Kanisa Kuu la
Mtakatifu Rita wa Kashia, lililopo katika Mji wa Cascia nchini Italia leo
tarehe 27 Aprili 2025.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akisali mbele ya Kaburi la Mtakatifu Rita wa Kashia kabla ya kushiriki Misa
Takatifu ya Dominika ya Pili ya Pasaka katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Rita wa
Kashia, lililopo katika Mji wa Cascia nchini Italia leo tarehe 27 Aprili 2025.
No comments:
Post a Comment