Wagombea Ubunge,Uwakilishi na Udiwani kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kaskazini Unguja wakitambulishwa na kuombewa Kura kwa Wananchi , wakati wa mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, uliyofanyika katika viwanja vya mpira shangani Mkoa wa Kusini Unguja.

No comments:
Post a Comment