Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Geita na baadae alifungua maonesho ya Teknolojia ya Madini kwenye viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Mjini Geita, Septemba 22, 2025. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Wachimbaji na Wachenjuaji Madini Mkoa wa Geita, Titus Charles alipotembelea banda la maonesho la chama hecho wakati alipofungua Maonesho ya Teknolojia ya Madini kwenye Viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Mjini Geita, Septemba 22, 2025. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita , Martin Shigela
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Wachimbaji na Wachenjuaji Madini Mkoa wa Geita, Titus Charles alipotembelea banda la maonesho la chama hicho wakati alipofungua Maonesho ya Teknolojia ya Madini kwenye Viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Mjini Geita, Septemba 22, 2025. Wa pili kulia ni Mkemia wa uchenjuaji madini, John Ngenda.
No comments:
Post a Comment