Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Nakapanya katika muendelezo
wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, Tunduru mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2025.
Sehemu ya wananchi wa Nakapanya
waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) Tunduru mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2025.
Shamra shamra katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za
Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Nakapanya, Tunduru mkoani
Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2025.
No comments:
Post a Comment