Rais wa Zanzibar nsa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika 6-11-2025 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe.Mwinyi Talib Haji akisaini hati ya kiapo baada ya kuapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 6-11-2025. 







No comments:
Post a Comment