Habari za Punde

Mstahiki Meya wa Jiji Zanzibar Amekutana na Ujumbe wa Kampuni ya Kopru

Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe.Mahmoud Muhammed Mussa (kushoto) akiwa katika  mazungumza na Mjumbe wa Kopru Mabingwa wa utengenezaji wa rangi kutoka Nchini Uturuki wenye Ofisi zake Jijini Dar es Salaam, ukiwa katika mazungumzo na Mstahiki Meya,  yaliyofanyika katika ofisi za Meya Michezani Mall Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.