6/recent/ticker-posts

Msimamia Sheria anapovunja sheria!

 BADO kauli mbiu ya Jeshi la Polisi ya utii bila ya shuruti, imekuwa ikidharauliwa na baadhi ya askari wa jeshi hilo, kama camera ya Gazeti la Zanzibar leo Pemba, ilivyomnasa askari wa kikosi cha usalama barabarani, alieonekana akiwa amepakiwa kwenye vespa Z 598 FG, katikati ya mji wa Chakechake, (Picha na mpiga picha wetu, Pemba).



Post a Comment

0 Comments