6/recent/ticker-posts

Biashara ya kuni za mikarafuu bado tatizo Pemba

BIASHARA ya kuni zinazotokana na mti wa mkarafuu, imekuwa maarufu baadhi ya maeneo kisiwani Pemba, kama camera ya Gazeti la Zanzibar leo Pemba, ilivyomnasa mmiliki wa gari la Ng’ombe, kijiji cha Kiwani wilaya ya Mkoani Pemba, akisafirisha kuni hizo, kutoka eneo moja kwenda jengine, (Picha na mpiga picha wetu, Pemba).

Post a Comment

0 Comments