Habari za Punde

KUMI KWA MIA TANO YAKO


MCHUUZI WA MATUNDA AINA YA MACHUNGWA AKITEMBEZA KATIKA MITAA YA MKUNAZINI KUTAFUTA WANUNUZI WA BIDHAA HII AMBAYO MSIMU WAKE UMEANZA AKIUZA KWA SHS 500/= MACHUNGWA KUMI.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.