Habari za Punde

VODACOM YAZINDULIWA RASMI ZANZIBAR


MKURUGENZI MASOKO WA VODACOM EPHRAIM MAFURU AKIZUNGUMZA KATIKA UZINDUZI HUO

MKURUGENZI MTENDAJI WA VODACOM PETER CORREIA

MABOSI WA KAMPUNI YA SIMU YA VODACOM WAKIBADILISHANA MAWAZO BAADA YA UZINDUZI WA MTANDAO HUO KWA ZANZIBAR JUZI USIKU KATIKA HOTELI YA SERENA ZANZIBAR.



NAIBU WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI NA MICHEZO MAHMMUOD THABIT KOMBO MWENYE KOFIA AKIBADILISHANA MAWAZO WA MKURUGENZI MTENDAJI WA VODACOM PETER CORREIA NA MAAFISA WA KAMPUNI HIYO KATIKA VIWANJA VYA HOTELI YA SERENA SHANGANI.

WAZIRI KIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR SHAMSI VUAI NAHODHA AKISALIMIANA NA MKURUGENZI WA MASOKO WA KAMPUNI YA SIMU YA MKONONI YA VODACOM EPHRAIM MAFURU KATIKA SHEREHE ZA KUZINDUWA MTANDAO WA VODACOM ZANZIBAR KATIKA VIWANJA VYA HOTELI YA SERENA JANA USIKU.


WAZIRI KIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SHAMSI VUAI NAHODHA AKISALIMIANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA SIMU YA VODACOM PETER CORREIA KATIKA UFUNGUZI WA MTANDAO WA VODACOM ZANZIBAR ILIOZINDULIWA KATIKA UKUMBI WA VIWANJA VYA HOTELI YA SERENA SHANGANI

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.